Friday, June 19, 2015

ZIARA YA KINANA JIMBO LA BUSANDA



Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wakazi wa kata ya Nyanguku ambao waliusimamisha msafara wake na kueleza tatizo la barabara yao ya Kakora kwenda Kahama.
Katibu Mkuu wa CCM akipokelewa katika kata ya Nyankanga.


Wananchi wa kata ya Nyankanga wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakati wa mapokezi ya msafara wa Katibu Mkuu katika jimbo la Busanda.
Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Geita Vicky Kamata akiwasalimu wakazi wa Nyankanga ambao walijitokeza kwa wingi kumpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa kata ya Nyankanga waliojitokeza kwa wingi kumpokea




Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitafakari jambo alipotembelea maeneo ya wachimbaji wadogo wa madini Nyarugusu.



Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Geita Mhe. Vicky Kamata akiwasalimu wakazi wa Nyarugusu.
Mbunge wa Jimbo la Busanda Mhe.Lolesia Bukwimba akielezea namna anavyopambana kuhakikisha wachimbaji wadogo wanapatiwa maeneo Nyarugusu.


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa Nyarugusu.

















No comments:

Post a Comment