Thursday, June 11, 2015

KINANA ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA




















Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia pampu za kuvutia maji kutoka mto Kagera kwa ajili ya matumizi ya umwagiliaji .
Meneja Mkuu wa kiwanda cha Sukari Kagera akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM wakiwa kwenye chanzo cha maji cha mto Kagera, wengine picha ni Mbunge wa jimbo la Nkenge Assumpta Mshama (kushoto) na Mkueugenzi wa Kiwanda hicho Ndugu Nassor Seif.




 Mifumo ya kisasa ya umwagiliaji















No comments:

Post a Comment