Monday, July 2, 2012

Baadhi ya Wachangiaji mada

Bi.Josephine Douglas kutoka chuo cha Usimamizi wa Fedha  akichangia mada.

Amon Chakushemeire kutoka Mzumbe akichangia mada katika Kongamano la Katiba.

Baraka Kange akichangia mada.

Sunday, July 1, 2012

Picha za maonyesho ya BDG


Wajasiriamali waonyesha wakiwezeshwa wanaweza kufanya zaidi ya hapa,wengi wao wamesema kuwa wanajitahidi kufanya uzalishaji kwa ubora wa hali ya juu lakini taratibu za TBS na TFDA bado ni kikwazo kwao kwani kuna mlolongo mrefu sana wakati wa ufuatiliaji,ombi lao kwa wahusika waandae mfumo utakao kuwa mwepesi kwao.