Sunday, July 1, 2012

Picha za maonyesho ya BDG


















Wajasiriamali waonyesha wakiwezeshwa wanaweza kufanya zaidi ya hapa,wengi wao wamesema kuwa wanajitahidi kufanya uzalishaji kwa ubora wa hali ya juu lakini taratibu za TBS na TFDA bado ni kikwazo kwao kwani kuna mlolongo mrefu sana wakati wa ufuatiliaji,ombi lao kwa wahusika waandae mfumo utakao kuwa mwepesi kwao.

2 comments:

  1. TPSF mnafanya kazi nzuri sana kwa kuwasaidia hao wajasiliamali.mungu inabariki afrika mungu ibariki tanzania

    ReplyDelete
  2. TPSF and GS1 TZ NATIONAL LIMITED kiukweli kazi zenu zinawasaidia sana wale watu ambao kiukweli hali zao ni duni na wale ambao wanaanza biashara. kwa kawaida siku zote mwanzo huwa huwa mgumu. siku hizi nimeona hata wale wajasriamali ambao walikuwa wadogo kipindi cha nyuma sasa wamekuwa miongoni mwa wale wenye mafanikio makubwa mno.

    Nawashauru GS1 NA TPSF MKAZE BUTI KUWAINUA HAO WENY KIPATO CHA CHINI NAAMINI MUNGU ATAWALIPA.

    ReplyDelete