Saturday, December 20, 2014

MAHFALI YA 10 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA)


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Prof Idriss Ahmada Rai mara baada ya kuwasili  katika ya Kampasi ya Chuo Tunguu kufungua Mahfali ya 10 yaliyofanyika chuoni hapo  Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu.]
  Baadhi ya walimu katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano  katika mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na Ikulu.]
 Wajumbe wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano yaliyoandaliwa rasmi katika mahfali ya 10 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja ambapo mgeni rasmi akiwa .Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein[Picha na Ikulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) Makamu Mkuu wa Chuo Prof Idriss Ahmada Rai,Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija  wakisimama  wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa  katika mahfali ya 10 ya Chuo  yaliyofanyika  katika Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu.]
  Baadhi ya wahitimu katika Mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) waliotunukiwa  Stashahada ya Sayansi ya Kompyuta wakiwa katika viwanja vya Mahfali hayo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja   mgeni rasmi akiwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) .[Picha na Ikulu.]
 Wazee na Wtoto wa ambao wamefika katika viwanja vya mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakishuhudia wahitimu wanapotunukiwa Vyeti,Stashahada na Shahada na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)  ambae ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) .[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)alipokuwa akiwatunuku Vyeti,Stashahada na  Shahada  kwa wahitimu wa fani mbali mbali katika Mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika  katika Kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Makamu Mkuu wa chuo Prof Idriss Ahamada Rai,[Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya Sayansi na Elimu katika chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika mahfali ya 10 yaliyofayika chuoni hapo Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Ungaja  akiwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA).[Picha na Ikulu.]
  Mwanaidi Ali Faki na Ngano Suleiman Faki mbele ni wanafunzi waliohitimu mafunzo ya fani ya Kiswahili na Elimu wakiwa katika mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Tifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika katika viwanja vya kampasiya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA).[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimkabidhi zawadi Hamad Abdalla Nassor akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao wakati wa mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimkabidhi zawadi Najat Zahoro Said akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao wakati wa mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii,Vijana wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohammed akimpongeza mwanafunzi Najat Zahor Said kwa ufaulu wake mzuri katika masomo akiwa darasani katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakati wa mahfali ya 10 yaliyofayika chuoni hapo Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Ungaja  ,
[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)  akitoa  hutuba yake katika mahfali ya 10 ya chuo hicho yaliyofanyika  katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akifuatana na Makamu Mkuu wa Chuo Prof.Idriss Ahmada Rai baada ya kuyafunga  mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika  katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]

Friday, December 12, 2014

MKUTANO WA KUFUNGA KAMPENI ZA SERIKALI ZA MTAA WAFANA JIMBO LA ILALA Wapenzi na Wanachama wa CCM wakijumuika pamoja wakati wa kufunga kampeni za serikali za mitaa Jimbo la Ilala.
 Wasanii wa bendi ya Twanga Pepeta wakitumbuiza wakati wa kufunga kampeni za CCM jimbo la Ilala ,mkutano uliofanyika kwenye makutano ya mtaa wa Kongo na Faru.
 Wanachama wakionyesha mabango ya wagombea wao.
 Mbunge wa Jimbo la Ilala  Mhe. Mussa Azzan Zungu (CCM)akihutubia wakati wa kufunga mkutano wa kampeni za serikali za mitaa Jimbo la Ilala ambapo aliitaka serikali kutambua Ilala ni sehemu ya biashara hivyo hakuna budi kuwaacha watu wafanye biashara.
 Kila wakati wanachama walionekana kushangilia hotuba zao.
 Wanachama wakifuatilia kwa makini hotuba za viongozi wao.
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Ramadhani Madabida akisalimia wananchi wa Jimbo la Ilala wakati wa kufunga kampeni za serikali za mitaa jimbo la ilala zilizofanyika kwenye makutano ya mtaa wa Kongo na Faru.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Jimbo la Ilala wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za serikali za mitaa Jimbo la Ilala uliofanyika kwenye makutano ya mtaa wa Kongo na Faru.
 Mbunge wa Jimbo la Ilala ni: Mhe. Mussa Azzan Zungu (CCM)akizungumza na mtoto mmoja aliyekuwa kwenye eneo la mkutano.
 Gungu Mohamed Tambaza mgombea wanafasi ya Uenyekiti wa Serikali za Mitaa Mtambani B akiomba kura kwa niaba ya wagombea wenzake wa jimbo la Ilala wakati wa kufunga kampeni za serikali za mitaa  kwenye makutano ya mtaa wa Kongo na Faru.
Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Abilahi Mihewa akisalimia wananchi wa Jimbo la Ilala waliojitokeza kwa wingi wakati wa kufunga kampeni za serikali za mitaa 

 Kada wa CCM Haji Manara  akiwasalimu wakazi wa Jimbo la Ilala wakati wa kufunga kampeni za serikali za mitaa kwenye makutano ya mtaa wa Kongo na Faru ambapo aliwaambia wananchi hao ilala ni sehemu salama sana kwa CCM na historia ya CCM imeanzia Ilala.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Kada wa CCM Haji Manara kwenye mkutano wa kufunga kampeni za CCM serikali za mitaa uliofanyika kwenye makutano ya mtaa wa Kongo na Faru.
 Kada wa CCM Haji Manara akicheza na wapenzi wa wanachama wa CCM wakati wa kufunga kampeni za CCM jimbo la ilala kwenye makutano ya mtaa wa Kongo na Faru.
 Ilala ni sehemu salama kwa CCM.
 Kila mtu alichukua tukio apendavyo
 Haji Kube Katibu wa Jimbo la Ilala akiongoza taratibu za mkutano wa ufungaji kampeni katika jimbo hilo uliofanyika kwenye makutano ya mtaa wa Kongo na Faru.