Sunday, September 28, 2014

KAGONJI AREJEA CCM


Mzee Charles Kagonji ajiunga rasmi na CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Sunga jimbo la Mlalo.
Kagonji amerudi CCM yeye pamoja na Viongozi wakubwa wa jimbo ambao ni Ndugu Ismail Semkunde  aliyekuwa Mwenyekiti wa Jimbo na Katibu wa Jimbo Mzee julius Kavurai pamoja na aliyekuwa mgombea wa udiwani  wa kata ya Sunga kupitia Chadema Ally Gaha.

KINANA ALIPOKUWA WILAYA YA MLELE

Moja ya Vibanda vya kuhifadhia mizinga ya Nyuki kwenye shamba la Waziri Mkuu Mizengo Pinda kijijini kwake Kibaoni wilaya ya Mlele.


ZIARA YA KINANA JIMBO LA MLALO