Sunday, February 17, 2013

SEMINA YA HALI YA ELIMU NA AJIRA KWA WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA.


Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na Naibu Waziri  wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiwa anatoa somo kuhusu Hali ya Siasa, Vijana na Ajira Nchini katika Semina iliyofanyika kwenye Kikao Cha Kwanza Cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa lililofanyika katika Ukumbi wa Whitehouse mjini Dodoma leo tarehe 17 february 2013.

Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa wakiwa wanamsikiliza kwa makini Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na Naibu Waziri  wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiwa anatoa somo kuhusu Hali ya Siasa, Vijana na Ajira Nchini katika Semina iliyofanyika kwenye Kikao Cha Kwanza Cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa lililofanyika katika Ukumbi wa Whitehouse mjini Dodoma leo tarehe 17 february 2013..

Semina kwa wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa juu ya wajibu na majukumu ya wajumbe hao na mipaka yao ya uongozi pamoja na kutathmini njia ya kuimarisha jumuiya ya Vijana na mikakati ya kuwasaidia Vijana Nchini.