Thursday, August 9, 2012

MATUKIO YA ZIARA YA UJUMBE WA NGAZI YA JUU YA CCM NCHINI CHINAPicha ya pamoja, katika mkutano wa vijana nchini China,kutoka kushoto ni Nd.Edmund(afisa Ubalozi wa Tanzania nchini China, Ndg. Jasinta Mboneko (Afisa wa CCM - SUKI),Ndg Dhahir Mshana( Katibu Msaidizi Mkuu Itifaki),Ndg.Martine Shigela( Katibu Mkuu UVCCM),Ndg.Ussi Yahaya Haji(Mjumbe wa NEC-Zanzibar),Mh.Philip Marmo( Balozi wa Tanzania nchini China.)
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,Mh. Pius Msekwa akisalimiana na Mh.Charles Liu,Makamu wa Rais wa Startimes-China.
Makamu Mwenyekiti CCM- Bara, Mh.Pius Msekwa pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu Mh. Constancia Buhiye wakiwa na viongozi wa Jumuiya ya Vijana  wa  Peoples Democratic Party (PDP)
Katibu Mkuu wa UVCCM, Ndg.Martine Shigela akiwa na Katibu Mkuu wa Vijana wa CPC-China Ndg.Zhou Changkui
Ndugu Martine Shigela,Katibu Mkuu wa UVCCM akipanda mti wa urafiki nchini China.
Katibu Mkuu UVCCM, Ndg.Martine Shigela akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini China Mh. Philip Marmo katika ofisi za ubalozi  wa Tanzania uliopo China.
Ujumbe wa ngazi ya juu ya CCM wakiwa kwenye picha ya pamoja, kutoka kushoto Dhahir Mshana (Katibu Msaidizi Mkuu Itifaki),Mh.Constancia Buhiye(Mjumbe wa Kamati Kuu),Mh.Pius Msekwa (Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara),Mh.Vuai Ali Vuai( Naibu Katibu Mkuu CCM -Zanzibar),Mh.Ussi Yahaya Haji(Mjumbe wa NEC-Zanzibar)

Picha zote kwa hisani ya Yasinta Mboneko(Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa- CCM)