Thursday, June 21, 2012

ZIARA YA KATIBU WA NEC OGANAIZESHENI CCM, TANGAKatibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdallah Juma aka Mshua, akiwa na kijana wake ambaye amehitimu mafunzo ya JWTZ Kambi iliyopo Tanga
Asha Abdallah Juma akikagua jengo la ghorofa moja la tawi la Mgwashi, Lushoto mkoani humo. Pamoja naye ni viongozi wa CCM mkoani humo.
Asha Abdallah Juma akiwa na mtoto Januari aliyezaliwa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, Mgwashi, Lushoto
Akizungumza na viongozi wa CCM  kwenye shina namba moja la CCM  Mgwashi, Lushoto
Akisaini kitabu cha wageni, katika shina namba moja Mgwashi, Lushoto. Kushoto ni Katibu wa CCM Lishoto Bwana  Hamisi na Mussa Mbuguni Mwenyekiti wa CCM, wilaya hiyo.
Alipofika pale Kwa Mkono, Handeni wananchi wakampa zawadi ya mbuzi
Akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Kwa Mkono, Handeni. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga, Tanga, Mussa Shekimweri
Akizungumza na viongozi wa CCM wilaya ya  Lushoto
Akiwa na watoto wa Kkimasai eneo la KwaMmkono, Handeni
Akiwa katika picha na viongozi wa wilaya ya Lushoto
Akiwa katika picha ya pamoja na wakazi Mgwashi
Akisomewa risala ya ujenzi wa tawi la Mgwashi
Ujenzi tawi la Mgwashi, 
Viongozi wa CCM wakimsikiliza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika tawi la CCM Mgwashi.