Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa
Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na
Makamu Mkuu wa Chuo Prof Idriss Ahmada Rai mara baada ya kuwasili
katika ya Kampasi ya Chuo Tunguu kufungua Mahfali ya 10 yaliyofanyika
chuoni hapo Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya walimu katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano katika mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na Ikulu.]
Wajumbe wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano yaliyoandaliwa rasmi katika mahfali ya 10 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja ambapo mgeni rasmi akiwa .Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) Makamu Mkuu wa Chuo Prof Idriss Ahmada Rai,Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija wakisimama wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika mahfali ya 10 ya Chuo yaliyofanyika katika Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya wahitimu katika Mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) waliotunukiwa Stashahada ya Sayansi ya Kompyuta wakiwa katika viwanja vya Mahfali hayo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) .[Picha na Ikulu.]
Wazee na Wtoto wa ambao wamefika katika viwanja vya mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakishuhudia wahitimu wanapotunukiwa Vyeti,Stashahada na Shahada na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ambae ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) .[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)alipokuwa akiwatunuku Vyeti,Stashahada na Shahada kwa wahitimu wa fani mbali mbali katika Mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika katika Kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Makamu Mkuu wa chuo Prof Idriss Ahamada Rai,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya Sayansi na Elimu katika chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika mahfali ya 10 yaliyofayika chuoni hapo Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Ungaja akiwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA).[Picha na Ikulu.]
Mwanaidi Ali Faki na Ngano Suleiman Faki mbele ni wanafunzi waliohitimu mafunzo ya fani ya Kiswahili na Elimu wakiwa katika mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Tifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika katika viwanja vya kampasiya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA).[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimkabidhi zawadi Hamad Abdalla Nassor akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao wakati wa mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimkabidhi zawadi Najat Zahoro Said akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao wakati wa mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii,Vijana wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohammed akimpongeza mwanafunzi Najat Zahor Said kwa ufaulu wake mzuri katika masomo akiwa darasani katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakati wa mahfali ya 10 yaliyofayika chuoni hapo Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Ungaja ,
[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akitoa hutuba yake katika mahfali ya 10 ya chuo hicho yaliyofanyika katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akifuatana na Makamu Mkuu wa Chuo Prof.Idriss Ahmada Rai baada ya kuyafunga mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]

No comments:
Post a Comment