Saturday, June 6, 2015

ZIARA YA KINANA BUKOBA MJINI








Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Bukoba mjini
Mkuu wa mkoa wa Kagera Ndugu John Mongella akisoma taarifa ya mkoa kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

Diwani wa kata ya Miembeni Richard Gaspa akichangia maoni kwenye kikao cha halmashauri kuu CCM wilaya.
Mchumi wa Kata ya Kishai Ndugu Yazidi

Katibu Mwenezi Kata Bile Shafii J.Lugomba

 George Fidelis wa Umoja wa Machinga  wa Manispaa ya Bukoba akisoma risala yao kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

































No comments:

Post a Comment