Monday, June 15, 2015

ZIARA WILAYA YA KINANA WILAYA YA CHATO

Nape akiwasili kwenye uwanja wa mkutano Stendi ya zamani Chato mjini
Kikundi cha kwayaAmani cha kanisa la Angrikan kikitumbuiza.




















Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka jiwe la msingi la ufunguzi wa ofisi ya CCM kata ya Kazunguti.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kama ishara ya kufungua ofisi ya CCM kata ya Kazunguti.






Bidhaa zinazopatikana kwa wingi soko la Kazunguti.










Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi hisa kwa Bi. Beatrice Chandika wa Saccos ya Mshikamano ambapo wanahisa 14 walipatiwa hisa na wanachama 20 walipatiwa mkopo wenye thamani ya milioni shilingi 78.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Chato.























No comments:

Post a Comment