Friday, October 23, 2015

MKUTANO WA KAMPENI ZA MAGUFULI JANGWANI
5 comments:

 1. CCM MMECHAGUA MTU MAHIRI HAKIKA MMEFANIKIWA KUONGEZA WAPIGA KURA. ILA INABIDI KUWAHURUMIA NA KULIPA FADHIRA KUBWA KWA WANANCHI WALIOJITOKEZA KUWA SIKILIZA NA KUWAONESHA JINSI GANI WANAVYO WA AMINI SASA ACHENI KUFANYA KAZI KWA MAZOEA MSEMO NA KAULIMBIU YA MGOMBEA NAFASI YA URAISI IHESHIMIWE NA IFANYIWE HAKI KUWATUMIKIA WANANCHI LA SIVYO MTAPOTEZA KABISA IMANI KWA WANANCHI.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Sahihi tumejifunza na ndiyo maana tunasema hapa ni kazi tu,wananchi wategemee makubwa zaidi

   Delete
 2. Nimemsikiliza kwa umakini mkubwa na vijana wenzangu na kuadi kuwa huyu ndo Raisi wetu wa hawamu ya Tano. DR. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI na kuwapata vijana wa ukawa ambao mitazamo yao ilibadilika kwa kusikia kwa uchungu na msisitizo wa hotuba nzuri na yenye kueleweka na yenye hisia ,unyeyekevu mkubwa kwa wananchi . Basi naomba tumsaidie muheshimiwa kufikia malengo ambayo kwa dhati kabisa ya kuwatumikia wananchi kwa kuwaletea maendeleo. Naomba tusimuangushe kwa kushirikiana bega kwa bega kulipeleka taifa mbele na kulikwamua katika wimbi zito la umasikini. Kiukweli hotuba ya leo iliwahumiza sana watu na kuwasisimua nakuona kweli anaesimama katika chama cha mapinduzi ndio sahihi kwao anafaaa na anatosha kuliendesha taifa ili bila wasiwasi na anamoyo wadhati kabisa. Tumeshashinda bado kuapishwa naimani kesho katika mkutano wa ukawa hakuna atakaye weza kuwasisimua watu na kuwaeleza atawaondoleaje umasikini bali ni kulalamika tu. Lakuni sikitisha kwamba kwanini nafasi haikupatikana ya mgombea nafasi ya uraisi kuhojiwa na BBC Swahili kule kulikuwa na wimbi kubwa la kutuongezea kura. Mzee Lowassa alishindwa kujielezea na kupunguza idadi kubwa ya kura za watu makini lakini walipenda sana kusikia kuwa Mh. Magufuli ukiwaonyesha ulimwengu kuwa wewe ndie Raisi wa awamu ya Tano katika Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu kibaliki chama cha mapinduzi na Mungu wabariki DR. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFILI na Mama Samia Hassan Suluhu kuwa Viongozi wetu wajuu wa awamu TANO

  ReplyDelete
 3. Ally ngwele umeongea vyema Sana...I wish angefanya hata phone interview...wabishi waliobakia wangeelewa zaidi...

  ReplyDelete
 4. Kwa kweli ni zawadi kutoka kwa mungu,huyu ni mtanzania kweli naanza kuona fikra za baba wa taifa hapa nchi ya watanzania wanyonge,kura yangu ni magufuli nawe mtanzania huyu anastahili tumpe kura kama hakuwa na uoga jana mbele ya viongozi wote wastaafu na rais Kikwete akiwemo kwa yale aliyoyaongea tena akaungwa mkono na Rais mwenyewe.Emma James

  ReplyDelete