Tuesday, October 13, 2015

MKURANGArong>????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkoa wa Pwani mjini Mkuranga wakati akiwaomba kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote ukishirikisha vyama mbalimbali vya kisiasa.
Dk. John Pombe Magufuli amesema mara atakapochaguliwa na kuunda serikali yake atahakikisha anapambana na Wavuvi haramu wa kimataifa wanaokuja katika bahari kuu ya Tanzania na kuvua samaki wakubwa kwa magendo huku wakisindika na kupeleka nchi za ulaya na Asia kwa ajili ya kuuza.
Amesema vita hiyo ni lazima iwe kubwa na tuhakikishe tunalinda maliasili za taifa ili watanzania waweze kufaidika na rasirimali zao na kuwajengea uchumi imara wa nchi.(PICHA NA JOHN BUKUKU- FULLSHANGWE-MKURANGA)
????????????????????????????????????
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano huo wa kampeni uliofanyika mjini Mkuranga mkoa wa Pwani.
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
Baadhi ya vijana wakiwa wamepanda kwenye Roli la mafuta ili kumuona Dk. John Pombe Magufuli wakati aliposimama mjini Kibiti na kusalimiana na wananchi akitokea mkoani Lindi kuelekea mkoa wa Pwani kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kibiti wakati aliposimama na kuwasalimia akielekea mkoani Pwani.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni mjini Kibiti huku wakiwa wameshikilia mabango yenye pivha ya mgombea ubunge wa jimbo la Kibiti Ndugu Ugando Hamidu Rashidi.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Kibiti Ndugu Ugando Hamidu Rashidi katika mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Kibiti.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli hayupo pichani wakati akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni mjini Kibiti.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wagombea udiwani wa Kibiti wakiwa katika mkutano huo.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wananchi wakifuatilia mkutano huo mjini Kibiti.
????????????????????????????????????
Baadhi ya viongozi mbalimbali [amoja na wananchi wakiwa katika mkutano huo.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Kibiti mkoani Pwani wakati akiomba kura.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wakati akisalimiana nao katika kwenye kijiji cha Marendego wilayani Rufiji.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wakati wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Nchinga mkoani Lindi.
????????????????????????????????????
Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Nchinga Ndugu Mudhihir Mudhihir akimuombea kura za ndiyo Dk. John Pombe Magufuli.
????????????????????????????????????
Umati wa wananchi ukimsikiliza Mgombea Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika jimbo la Nchinga.
????????????????????????????????????
Mgombea ubunge wa jimbo la Nchinga Mh. Said Mtanda akizungumza na wananchi waliohudhuria katika mkutano huo.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wakati akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Mkuranga Ndugu Ulega.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wakati wa Mkuranga huku akionyesha Dole akisaidiwa na mgombea ubunge wa jimbo Ndugu Ulega.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mkuranga Mh. Adam Malima akimuombea kura Ndugu Ulega aliyesimama kulia

No comments:

Post a Comment