Wednesday, October 14, 2015

MAPOKEZI YA MWILI WA KIGODA
1 comment:

  1. Ujumbe maalum kwa mgombea urais kuhusu kero yetu wastaafu. Shirika la PPF halitulipi pensheni tangu serikali ilipoongeza kima cha chini kuanzia July 2015 kwenye bajeti ya serikali. Mashirika karibu yote yanalipa wastaafu wao kama serikali ilivyoongeza isipokuwa hawa PPF. Natumai ujumbe utamfikia mgombea wetu tutashukuru kama atatusaidia.

    ReplyDelete