Sunday, February 17, 2013
Wednesday, February 6, 2013
Monday, February 4, 2013
Thursday, August 9, 2012
MATUKIO YA ZIARA YA UJUMBE WA NGAZI YA JUU YA CCM NCHINI CHINA
| Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,Mh. Pius Msekwa akisalimiana na Mh.Charles Liu,Makamu wa Rais wa Startimes-China. |
| Makamu Mwenyekiti CCM- Bara, Mh.Pius Msekwa pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu Mh. Constancia Buhiye wakiwa na viongozi wa Jumuiya ya Vijana wa Peoples Democratic Party (PDP) |
| Katibu Mkuu wa UVCCM, Ndg.Martine Shigela akiwa na Katibu Mkuu wa Vijana wa CPC-China Ndg.Zhou Changkui |
| Ndugu Martine Shigela,Katibu Mkuu wa UVCCM akipanda mti wa urafiki nchini China. |
| Katibu Mkuu UVCCM, Ndg.Martine Shigela akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini China Mh. Philip Marmo katika ofisi za ubalozi wa Tanzania uliopo China. |
Monday, July 2, 2012
Baadhi ya Wachangiaji mada
Sunday, July 1, 2012
Picha za maonyesho ya BDG
Wajasiriamali waonyesha wakiwezeshwa wanaweza kufanya zaidi ya hapa,wengi wao wamesema kuwa wanajitahidi kufanya uzalishaji kwa ubora wa hali ya juu lakini taratibu za TBS na TFDA bado ni kikwazo kwao kwani kuna mlolongo mrefu sana wakati wa ufuatiliaji,ombi lao kwa wahusika waandae mfumo utakao kuwa mwepesi kwao.
Thursday, June 21, 2012
ZIARA YA KATIBU WA NEC OGANAIZESHENI CCM, TANGA
Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdallah Juma aka Mshua, akiwa na kijana wake ambaye amehitimu mafunzo ya JWTZ Kambi iliyopo Tanga
Asha Abdallah Juma akikagua jengo la ghorofa moja la tawi la Mgwashi, Lushoto mkoani humo. Pamoja naye ni viongozi wa CCM mkoani humo.
Asha Abdallah Juma akiwa na mtoto Januari aliyezaliwa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, Mgwashi, LushotoAkizungumza na viongozi wa CCM kwenye shina namba moja la CCM Mgwashi, Lushoto
Akisaini kitabu cha wageni, katika shina namba moja Mgwashi, Lushoto. Kushoto ni Katibu wa CCM Lishoto Bwana Hamisi na Mussa Mbuguni Mwenyekiti wa CCM, wilaya hiyo.
Alipofika pale Kwa Mkono, Handeni wananchi wakampa zawadi ya mbuzi
Akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Kwa Mkono, Handeni. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga, Tanga, Mussa Shekimweri
Akizungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Lushoto
Akiwa na watoto wa Kkimasai eneo la KwaMmkono, Handeni
Akiwa katika picha na viongozi wa wilaya ya Lushoto
Akiwa katika picha ya pamoja na wakazi Mgwashi
Akisomewa risala ya ujenzi wa tawi la Mgwashi
Viongozi wa CCM wakimsikiliza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika tawi la CCM Mgwashi.
Subscribe to:
Posts (Atom)










