Kikosi cha "makomandoo" wavulana
 Kikosi cha "makomandoo" wasichana
 Sanaa ya kujilinda kwa mikono
mitupu
 Kamanda msaidizi akitoa amri
 Makamanda wa gwaride
 Wapiganaji wa TBC One wakirusha live tukio
zima
 Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Dkt John Nchimbi
akisema machache
 Sehemu ya wageni kutoka mikoa yote
 Wageni kutoka chama tawala cha Uganda wakiteta
jambo
 Sehemu ya waalikwa kutoka mikoa
yote
 Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana akiongea na
umati
 Mwakilishi wa cha tawala cha Uganda akisema
machache
 Sehemu ya jukwaa kuu ikishangilia
 Makamu Mwenkeyikiti wa chama tawala cha Uganda
akisalimia
 Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete akicheza kwa furaha
jukwaa kuu
 CCM Oye!
 Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete akihutubia umati wa
wananachi
 Rais Kikwete akimpongeza Mwenyekiti wa CCM Songea kwa
maandalizi mazuri 
 Sehemu ya maelfu ya wananchi
 Rais Kikwete akiendelea na hotuba
 Nyomi
 Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete akigawa kadi kwa
wanachama wapya akiwa na Mbunge wa Songea Mjini Dkt Emmanuel Nchimbi
na Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana

 Msanii Diamond na kundi lake la Wasafi
wakitumbuiza
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe
Bernad Membe akiongea na Naibu Waziri wa Fedha Mhe Mwigulu
Nchemba
 Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana na Katibu
Mwenezi na Itikadi Ndg Nape Nnauye wakisalimia
umati
 Diamond na kundi lake wakitumbuiza
Diamond na Abddul Misambano na kikundi cha TOT
wakitumbuiza

No comments:
Post a Comment