Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdallah Juma aka Mshua, akiwa na kijana wake ambaye amehitimu mafunzo ya JWTZ Kambi iliyopo Tanga
Asha Abdallah Juma akikagua jengo la ghorofa moja la tawi la Mgwashi, Lushoto mkoani humo. Pamoja naye ni viongozi wa CCM mkoani humo.

Akizungumza na viongozi wa CCM kwenye shina namba moja la CCM Mgwashi, Lushoto
Akisaini kitabu cha wageni, katika shina namba moja Mgwashi, Lushoto. Kushoto ni Katibu wa CCM Lishoto Bwana Hamisi na Mussa Mbuguni Mwenyekiti wa CCM, wilaya hiyo.
Alipofika pale Kwa Mkono, Handeni wananchi wakampa zawadi ya mbuzi
Akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Kwa Mkono, Handeni. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga, Tanga, Mussa Shekimweri
Akizungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Lushoto
Akiwa na watoto wa Kkimasai eneo la KwaMmkono, Handeni
Akiwa katika picha na viongozi wa wilaya ya Lushoto
Akiwa katika picha ya pamoja na wakazi Mgwashi
Akisomewa risala ya ujenzi wa tawi la Mgwashi
Viongozi wa CCM wakimsikiliza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika tawi la CCM Mgwashi.