Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiwa anatoa somo kuhusu Hali ya Siasa, Vijana na Ajira Nchini katika Semina iliyofanyika kwenye Kikao Cha Kwanza Cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa lililofanyika katika Ukumbi wa Whitehouse mjini Dodoma leo tarehe 17 february 2013. |